Rihanna - Kiss It Better


Rihanna <3


One of my favourite songs on Rihanna`s album "Kiss It Better." I think I have replayed this song more than 1000 times! Get a teaser of the music video dices with 6 all over! Game of dice amazing one tossing and have another dice to read for action to be taken :) How old are you since you are reading this? Never mind! Spice up your life and live to the fullest! I look so very forward to the music video :)

                                           


Huu wimbo wa Rihanna naupenda mno huwa narudia kupiga kama mara elfu. Sasa ni kusubiri tuu kideo chake tuone habari nzima ya wimbo. Kwa wale wataalamu wa mahaba hapa utakua ushakisoma kipande kifupi kama hicho. Natumaini umri wako unakuruhusu kusoma hapa au kutazama. Ila watoto wa siku hizi mnakua upesi mno. Nasubiria video hii kwa hamu sana :)

Comments