NATASHA SHYROSE LIVE CONCERT?
Natasha Shyrose representing the Nomadic culture - Big ups to all my Nomadic people <3 Well well much <3 To my fans too!
What a long day and I am still awake! I must wake up at 06:00 every single morning :) I have been hunting for the concert opportunities ;) Each year around this time in Norway artists have to register for these big festivals. I have always been late to register but this year am wide awake! Most people believe the world is sinking in desember 21! Before that can anyone in Uk help me to launch release Party! I need people with both African and European network! Because I got all from Swahili Hip Hop, Dance and English songs Rocks- Oh yeah headbangers am right there to do it with you on my songs ;) Blues-Rock and more...All in all if you got rhythm this should not matter at all! The album has been in long making and It reaches everybody even someone in Alabama will feel the roots:)SWAHILI:
Siku ya leo ndefu mno maana kuamka saa kumi na mbili kila siku balaa halafu fikiria eti bado niko macho :) Nilikua nawinda riziki za kupiga show maana huku kwetu mida kama hii wasanii wanatakiwa wajiandikishe kwenye matamasha makubwa ila kila mwaka mwezenu yalikua yananipita. Na wanamziki kibao wamenizunguka hawanishitui binadamu sie! Ila kabla mwezi wa kumi na mbili tarehe 21 maana watu wanadhani dunia eti inazama! Kama kuna mtu anayeishi Uingereza akaweza kunisaidia kufanya maandalizi ya maonyesho live ya Release Party! Au party ya kufyatua albumu itakua vizuri mno nitashukuru. Ningependa kupata mtu ambaye ana mtandao wa watu wa namna zote maana album yangu ni nusu kingereza nusu kiswahili na pia ninazo nyimbo za pembeni kuongezea kwenye album. Album hii ina style kibao kutoke Hip Hop, Dancehall, Pop, Dance, Rock sema wewe ila kama wewe ni mtaalamu wa mdundo basi utacheza zote! Naombeni maoni au anwani ya mtu ambaye anashughulika na kuandaa maonyesho. Dada Sporah UK upo hebu niunganishe ;)
Comments
Post a Comment