KRISTIANSUND IS ONE OF THE MOST BEAUTIFUL LITTLE TOWNS IN NORWAY( MTALII WA NDANI KWA NDANI NORWAY)
I love touring around. Even in the same hometown or country there a lot of things I have not YET explore! Such things people totally take for granted! Well like I have never been into many national parks in Africa! When I see the beauty through discover channel it makes me want to go back to Africa as Tourist! But I have been in South Africa at Soweto, Cape of Good Hope, Sun City, Cape Point and saw the table mountains and museums. I have also been in Zimbabwe national park it was huge. I got an opportunity to tour with Mizat Tours and Travel in Zanzibar. It was awesome I really wish to visit again. Now I have learned to visit all the tourist attractions or different parts of town to explore the beauty of the country before considering visiting another place! Kristiansund is one of the smallest beatiful town in Norway! I also love Molde <3 I actually wish to live in that town. www.soundcloud.com/natashashyrose
SWAHILI:
Mimi huwa napenda kutaalii hata miji ninayoishi kwani kuna vitu vingi ambavyo bado sijaviona. Maana vitu kama hivi watu tunachukulia kawaida tuu kumbe tunapitwa na mengi mazuri ndani ya miji yetu. Kama tuseme Afrika sio siri sijatembelea mbuga nyingi za wanyama. Nikitazama kwenye Discovery Channel huku ulaya natamani mno nirudi Afrika nitembelee sehemu mbalimbali kama mtalii. Ila nilishatembelea sehemu za Afrika kusini kama Soweto, Cape of Good Hope, Sun City, Cape point na pia nikaona table mountains milima inayofanana na meza. Na nchini Zimbabwe pia niliona mbuga kubwa ya wanyama. Nilibahatika kutembelea Zanzibar na Mizat Tours and Travel. Hii safari nilipenda maana tulipanda boti hadi Zanzibar tukatembelea sehemu mbalimbali!Natamani nitembelee Zanzibar tena. Mie huwa ninathamini mno utalii na kutembelea sehemu mbalimbali kuona mazingira sio maduka ya vitu. Kristiansund ni baina ya mji mdogo nchini Norway. Ka mji kadogo ila pazuri na mji mwengine niupendao ni Molde <3 Hata ningependa kuishi mji huu baadae!
Kristiansund #Natasha Shyrose is an expert to take a photo by iPhone-Nice Quality
Natasha Shyrose relaxing picture taken by my love!
Outside our hotel with my invisible family behind the photoshoot scene! One has to hold the camera and the other one posing! That`s how it works sometimes ;)
Innerdalen
Norway is so beautiful! What should people be stressing for ? This nature is Theraphy appreciate it - Material things do not bring happiness they are great to have but true happiness comes from nature and cost nothing <3
Too much sunshine can make Natasha Shyrose disappear at times in photos! But hey am there ;) LOL!
SWAHILI:
Mimi huwa napenda kutaalii hata miji ninayoishi kwani kuna vitu vingi ambavyo bado sijaviona. Maana vitu kama hivi watu tunachukulia kawaida tuu kumbe tunapitwa na mengi mazuri ndani ya miji yetu. Kama tuseme Afrika sio siri sijatembelea mbuga nyingi za wanyama. Nikitazama kwenye Discovery Channel huku ulaya natamani mno nirudi Afrika nitembelee sehemu mbalimbali kama mtalii. Ila nilishatembelea sehemu za Afrika kusini kama Soweto, Cape of Good Hope, Sun City, Cape point na pia nikaona table mountains milima inayofanana na meza. Na nchini Zimbabwe pia niliona mbuga kubwa ya wanyama. Nilibahatika kutembelea Zanzibar na Mizat Tours and Travel. Hii safari nilipenda maana tulipanda boti hadi Zanzibar tukatembelea sehemu mbalimbali!Natamani nitembelee Zanzibar tena. Mie huwa ninathamini mno utalii na kutembelea sehemu mbalimbali kuona mazingira sio maduka ya vitu. Kristiansund ni baina ya mji mdogo nchini Norway. Ka mji kadogo ila pazuri na mji mwengine niupendao ni Molde <3 Hata ningependa kuishi mji huu baadae!
Kristiansund #Natasha Shyrose is an expert to take a photo by iPhone-Nice Quality
Thon Hotel in Kristiansund they make excellent food! The workers were charming and polite so as most people in Kristiansund are friendly!
( Two places am tempted to leave beside Trondheim are Kristiansund & Molde )
Innerdalen
Comments
Post a Comment