NATASHA SHYROSE`S HOMEMADE SMOOTHIE
Natasha Shyrose Fresh Homemade Smoothie
Ready to Drink
HOW TO MAKE IT:
One banana and mix of blueberries and other types of berries. I do not know the names in English ;) Norway has got millions ways of calling different types of berries. They grow wildly almost everywhere! I used Soya Milk and Rose essence just 1 tea spoon! The berries were frozen thats the reason why I did not have to put crushed ice. This is the only easiest way I can eat different fruits daily!
You do not have to be an expert to do this all you have to do is select your favourite fruits and turn them to smoothie! Easy and no extra sugar added - How healthy! Do you need the fruits juice or smoothie from a supermarket? This is one of the easiest and cheapest way to make your own!
JUISI YA MATUNDA.
Changanya ndizi moja na aina mbalimbali ya berries maana hata majina yake siyajui pia hata kwa kiswahili. Huku Norway kuna aina hizo za matunda na wenyewe wana majina kibao ya kuyaita. Nimetumia maziwa ya maharage ya soya na pia nikaongeze kijiko kimoja cha maji ya waridi. Sikueka barafu maana hizo berries mbalimbali zilikua ndani ya freezer zimeganda au jokofu sio ndio freezer1 Nadhani hii ndio njia rahisi kula matunda tano kwa siku au mbalimbali. Acheni kunywa juisi za maboxi wakati unaweza kutengeneza mwenyewe fresh na bei nzuri kabisa. Yani isiyokuwa ghali. Juisi za maboksi wanatia sukari kibao si bora utengeneze mwenyewe. Unaweza ukabuni aina ya matunda mbalimbali ukatengeneza mwenyewe juisi nyumbani si lazima uwe mtaalamu. Nunua tuu blenda eka utengeneze juisi mbalimbali!
Comments
Post a Comment