Monopol Hotel, Tenerife, Puerto de la Cruz
This is one of the most beautiful hotel in Tenerife. I would recommend anyone to stay here while you are at Tenerife- Puerto De La Cruz. They have best breakfast and traditional food too! I love the interior design of this hotel! This is the kind of style Natasha Shyrose loves! Simple yet very sophisticated! I love old fashioned things......
SWAHILI:
Hii ni baina ya hoteli niipendayo katika kisiwa cha Tenerife - Puerto De La Cruz. Wana chakula kizuri pia na watu waspania wana roho nzuri kwa kweli. Mimi huwa napenda style kama hii ndani ya nyumba si makorokoro kibao. Unaona hii hoteli iko yani simple imetulia mno. Napenda staili ya kizamani kama hivyo. Natasha Shyrose si vituko jamani maana matarahambe yamehusu kama hivyo unavyoona kwenye kideo yani naona raha. Napenda yani.
Unaonaje staili hii?
Comments
Post a Comment