BAKKE BRU - THE BRIDGE OF LUCK IN TRONDHEIM
SWAHILI:
Nikiwa navuka daraja la bahati Bakke Bru Trondheim. Hili daraja wanaliita la bahati vile wanasema kwamba kila utakaye vuka naye kama ni watu mpendanawo basi mtaona. Mara ya kwanza kuvuka daraja hilo nilikua na mpigaji picha wangu Tony Wadham wa Uk nae alitania kwani tulivuka mimi nikiwa na rafiki yangu wa kike na yeye alivuka na mwanaume! Ila baada ya miaka kadhaa nilivuka daraja hilo na mume wangu. Yeye si Mr. Right maana watu wa siku hizi wanataka kila kitu kiwe 100% kwa usahihi. Kila mtu yuko tofauti na kuna vitu vinalingana. Basi hizo tofauti ndizo tunahitajika kuziheshimu kwani hata urafiki utadumu kwa wapendanao. Ila mapenzi nayo kama wazimu wakati mwengine ila vizuri kuwa nayo. Cha muhimu mshikamane mkono muungane mue pamoja japo kuwa ndoto ya mwenzio unaona si ya kukuridhisha au ya kustaabisha! Pamoja sio...
Comments
Post a Comment