LEO by Natasha Shyrose
Sing Leo with Natasha Shyrose by Opening the link below
LEO
Verse 1:
Wiki nzima nahangaika
Leo lazima kupumzika
Niwakati wakati kuburudika
Wacha shida zilipotoka
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Nimekuja kuwakalisha
Ingia kati kujumuika
Furahia unamaisha
Cheza Mpaka Jogoo liwike
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Chorus: Leo ndio leo
Asemaye Kesho Ni Mwongo
Leo Ndio Leo Ingia Kati Njoo Ucheze Nami
Verse 2:
Yaliopita yameshapita
Hayarudi kama muda
Hata kama ukinuna
Dunia bado yazunguka
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Muda wako ukifika
Maisha yavulie kofia
Hakikisha uliburudika
Kama hukupenda hukuishi
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Chorus: Leo ndio leo
Asemaye Kesho Ni Mwongo
Leo Ndio Leo Ingia Kati Njoo Ucheze Nami
Songwriter:Natasha Shyrose
Producer: WaterflyMusic Production
https://soundcloud.com/ natashashyrose/leo
Leo lazima kupumzika
Niwakati wakati kuburudika
Wacha shida zilipotoka
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Nimekuja kuwakalisha
Ingia kati kujumuika
Furahia unamaisha
Cheza Mpaka Jogoo liwike
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Chorus: Leo ndio leo
Asemaye Kesho Ni Mwongo
Leo Ndio Leo Ingia Kati Njoo Ucheze Nami
Verse 2:
Yaliopita yameshapita
Hayarudi kama muda
Hata kama ukinuna
Dunia bado yazunguka
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Muda wako ukifika
Maisha yavulie kofia
Hakikisha uliburudika
Kama hukupenda hukuishi
Wacha Tujirushe
Wacha Tucheze
Wacha Tudunde
Chorus: Leo ndio leo
Asemaye Kesho Ni Mwongo
Leo Ndio Leo Ingia Kati Njoo Ucheze Nami
Songwriter:Natasha Shyrose
Producer: WaterflyMusic Production
https://soundcloud.com/
Comments
Post a Comment