Thursday, July 5, 2018

Sioni wala siambiwi - Natasha Shyrose

VERSE
Kiziwi nimeshakua
Kipofu nimeshakuwa
Kwa penzi lake
Hata mkisema ni kama mnanipigia kinanda
Mwenzenu nimeshapenda
Sasa mimi ni kiziwi na kipofu
Hata mkisema penzi langu kwake
ndio kwanza pevu pevu pevu
Chorus:
Yeye ndio nyota yangu
Yeye ndio jua langu
Sasa mimi bila yeye
Nitakuaje mie
Nifikirieni mie
Ndio maana ninampenda sana
Verse:
Kufa nimeshakufa
Kuoza nimeshaoza
Bado kuzikwa tuu
Sijawahi penda asilan
Kama ninanvyompenda yeye
Watu wanapenda fedha
Wengine vya thamani lakini wajua nini kile ninachenda
Kati ya vitu vyote hapa duniani ni yeye tuu
Chorus:
Yeye ndio nyota yangu
Yeye ndio jua langu
Sasa mimi bila yeye
Nitakuaje mie
Nifikirieni mie
Ndio maana ninampenda sana
Bridge:
Paramochero anyim
Labo eng
Paromocheo chambeninyo
Entye tekonar
Amare Tutwal
Chorus: Yeye ndio nyota yangu
Yeye ndio jua langu
Sasa mimi bila yeye
Nitakuaje mie
Nifikirieni mie
Ndio maana ninampenda sana


Song released : 2016
Studio: Waterfly
Mastering: Sonovo AS

No comments:

Post a Comment