Wednesday, August 26, 2015

JITOKEZE 2015 PROJECT:

                                          LOCAL SHOWING OFF GRAFITTI SKILLS:

Jitozee 2015 is a project that motivates youth to use art skills, creativity and voices to impact their society by voting. It has been registered that youth engage themselves less into political affairs and the reason to this project is to raise awareness of changes that can occur due to voting. The event will be taking place in Dar-Es-Salaam, Tanzania under the Graffiti Artist known as LOCAL. Art has proven that it can bring people together through music and different art skills but also educate the youth. This is no propaganda rather than alerting youth what their votes can do to the society they live in! If you are in Dar Es Salaam join Jitokeze event which is sponsored by Rosa Luxembourg Foundation. Beside being inspired on how to use your rights to vote and impact to the society it makes in future you will be able to learn how to do your own art sketches, paint and enjoy hip hop music! Or you simply want to have new network and enjoy open mic on hip hop section live concert!

Street Art!

Amazing Skills!

I have personally attended at one of the Hip Hop events in Dar-Es-Salaam. It was amazing and inspiring! I believe the event was on for 3-4 days. I met different people, artists, dj´s and musicians. I even made new contacts with people that I will be working with in future. I worth being there. 

VIJANA:

Msikose kujiunga katika project hii ya Jitokeze mwaka 2015 ambayo inasimawiwa na Local chini ya wasajili Rose Luxembourg Foundation. Matumaini ya hili tokeo ni kuwafungueni macho vijana mjue namna gani haki zenu za kupiga kura zinaweza ongoza na kubalisha nchi. Hamtokutana kuambia piga kura chama kadhaa bali tuu utafahamu umuhimu gani wa kupiga kura au kutokupiga kura. Vile vile utapata nafasi kukutana na wasanii wa grafiti hata wewe binafsi kujifunza ujuzi kama huu wa kupiga chapa kama hizi. Kutakuwa na mziki wa hip hop wa kuelimisha vijana namna gani unaweza fanya mabadiliko kwa kupiga kura tuu. Msikose kama uko Dar-Es-Salaam! Mimi binafsi mwaka juzi kama sikosei nilitembelea onyesho hili na nilifurahishwa mno maana nilijifunza mengi na kuona mengi. Nilikutana na wasanii, wachoraji, wanamziki, djs na pia hata kukutana na watu wapya ambao wengine tutakua tunashirikiana pamoja. Basi nenda japo kwenye open mic na kukutana na wenzako! Usikose nafasi hii usiseme ya vijana kwani hata wewe ni kijana hata kama umri wako unazidi miaka sitini. Kinginecho kumbuka hip hop utakayokuta huku ni ya kueliminishana yani nyimbo zilezokwenda shule!No comments:

Post a Comment