Wednesday, September 11, 2013

KARIBU AT SWAHILI HIPHOP EXHIBITION WITH NATASHA SHYROSE

HII NI SWAHILI INTERNATIONAL HIPHOP EXHIBITION 2013. JIFUNZE JINSI YA KUJITANGAZA KWA NJIA ZISIZO ZA GHARAMA. PIGA HATUA NA UFIKIE MALENGO. WORKSHOP HII ITAFANYIKA PALE ALLIANCE FRANCAISE, TAREHE 14 (JMOSI) SEPTEMBA KUANZIA SAA 6 MCHANA MPAKA SAA NANE. NJOO UPATE DARASA. HAINA KUBAGUA, HAINA KIINGILIO. WANAUME KWA WANAWAKE, WOTE MNAKARIBISHWA.
kwa mawasiliano: 0712-828494

See you there on 14th September at Upanga Dar-Es-Salaam venue is at Alliance Francaise! 

No comments:

Post a Comment